Kiakebu

Kiakebu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo inayozungumzwa na Waakebu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiakebu imehesabiwa kuwa watu 56,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakebu iko katika kundi la Kikwa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search